Price includes VAT. Delivery charges may apply.
Tunatengeneza na kufunga vioo vya kisasa vya saluni vilivyobuniwa kuongeza mwonekano, mwanga na hadhi ya saluni yako. Tunazingatia ukubwa wa eneo, style ya saluni na mahitaji ya mteja ili kupata muonekano unaovutia na wa kitaalamu.
Huduma Tunazotoa:
✅Vioo vya salon vya ukubwa na design mbalimbali
✅Custom-made mirrors kulingana na vipimo vya eneo lako
✅Vioo vyenye MDF, Aluminium Profile au frames za kisasa
✅Salon mirror stations kwa ajili ya barber na beauty salon
✅Vioo vya full-wall kwa muonekano mpana na wa kisasa
Installation na finishing ya kitaalamu
✅Design inayoweza kuendana na lighting na furniture ya saluni yako
Delivery time confirmed after order
We'll contact you directly after order.
Free Delivery
1-Year Warranty
Installation
Hapa tumefanya kila kitu ✅changing room design ✅light desig...
TSh 4,000,000.00Kwa nini uchague Dr Decoration? ✅ Ushauri wa kitaalamu kabla y...
TSh 2,000,000.00