Price includes VAT. Delivery charges may apply.
in ads report hapa nahitaji kuweka taarifa za bajeti kamili ya tangazo la kulipia ambapo litatoa taaaarifa kamili ya namba ya tangazo na mwenendo wa tangazo kwa siku mfano bajeti ya siku kwa tangazo na pesa iliyowekwa kwenye tangazo. mfano kama bajeti kwa siku tangazo linatakiwa kutembea kwa siku moja kwa 2500 na limewekwa siku ya tarehe moja ya mwezi wa kwanza basi kuwe na bajeti ya jumla ya tangazo itakayo track performance ya tangazo mfano kama bajeti ya tangazo ni 100000 basi kila siku tangazo liwe linapunguza idadi ya kiwango kutokana na mda unavoenda pia kuwe na alam au notification ikifika 75% ya bajeti nzima ya tangazo. piah ntajhitaji kuwe na ripoti ya maendeleo ya wateja kutokana na tangazo husika mfano simu nilizopokea kwenye tangazo husika wateja walioweka odder kwa siku husika pamoja na wateja walio lipia kuokana na tangazo husika hii sehemu nahitaji iwe kwenye drop down ads report kuwe na drop down list kua unahitaji kuangalia performance au matokeo ya tangazo nahitaji utumie utaalam wako kupanga na kuweka muonekano na system iliyo ya kitaalam zaidi katika eneo hili.
Availability
In Stock
Delivery Time
In Stock
Free Delivery
1-Year Warranty
Installation
likitanda likali unalipata kwangu leo chap sanaaa...
TSh 300,000.00